CURRENT NEWS

Monday, May 29, 2017

KINANA AKUTANA NA BALOZI WA JAMHURI YA KOREA KUSINI HAPA NCHINI.

 Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi, Ndg Abdulrahman Kinana akutana na Balozi wa Jamhuri ya Korea kusini hapa nchini Mhe Song Geum-Young alipomtembelea kwa ajili ya mazungumzo katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es salaam, leo Mei 29, 2017.


 Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi, Ndg Abdulrahman Kinana akifanya mazungumzo na Balozi wa Jamhuri ya Korea kusini hapa nchini Mhe Song Geum-Young alipomtembelea katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es salaam, leo Mei 29, 2017.


Katika mazungumzo yao, wamehimiza suala la kuboresha mahusiano baina ya Jamhuri ya Korea Kusini na Tanzania pamoja na kuzungumzia ushirikiano wa muda mrefu katika kufanikisha miradi mbalimbali ya maendeleo hapa nchini.

 
Copyright © 2014 Mkono Wangu Production Designed by EvMak Tanzania