CURRENT NEWS

Tuesday, May 30, 2017

MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 36, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA MAY 29, 2017

 Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanznaia Mhe. Job Ndugai akiingia Bungeni kwa ajili ya kuongoza kikao cha 36 cha Mkutano wa Saba Bunge la 11 Mei 29, 2017.
  Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanznaia Mhe. Job Ndugai akiongoza kikao cha 36 cha Mkutano wa Saba Bunge la 11 Mei 29, 2017. 
 Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt Harrison Mwakyembe akijibu maswali mbalimbali kwa niaba ya Waziri wa Katiba na Sheria katika kikao cha 36 cha Mkutano wa Saba Bunge la 11 Mei 29, 2017. 
 Mbunge wa Viti Maalum Mhe. Ritha Kabati akiuliza swali katika kikao cha 36 cha Mkutano wa Saba Bunge la 11 Mei 29, 2017.
 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Dkt Agustine Maige pamoja na Naibu wake Mhe. Susan Kolimba wakijiandaa kuwasilisha Bajeti ya Wizara yao kwa mwaka wa fedha 2017/2018 katika kikao cha 36 cha Mkutano wa Saba Bunge la 11 Mei 29, 2017.
 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akijadiliana jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge Kazi Ajira Vijana na watu wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama katika kikao cha 35 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11  Mjini Dodoma Mei 26, 2017.
 Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Mhe. Mhandisi Isack Kamwelwe akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 36 cha Mkutano wa Saba Bunge la 11 Mei 29, 2017.
 Mbunge wa Mtwara Vijijini (CCM) Mhe. Hawa Ghasia akiuliza swali katika kikao cha 36 cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11  Mjini Dodoma Mei 29, 2017. 
 Naibu Waziri wa Afya maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Mhe. Dkt Hamis Kigwangalla akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 36 cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma Mei 29, 2017.
 Waziri wa Kilimo Mifugo na Uvuvi Mhe. Charles Tizeba akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 36 cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 lMjini Dodoma Mei 29, 2017. 
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge Kazi Ajira Vijana na Watu wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama wakijadiliana jambo na Mbunge wa Arusha Mjini Mhe. Godbless Lema katika kikao cha 36 cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma Mei 29, 2017.
 Mbunge wa Kalambo Mhe. Josephat Kandege akiuliza swali katika kikao cha 36 cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma Mei 29, 2017.  
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge Kazi Ajira Vijana na Watu wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama wakijadiliana jambo na Mbunge wa Mbuya Mjini Mhe. Joseph Mbilinyi katika kikao cha 36 cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma Mei 29, 2017.  
 Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angelina Mabula akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 36 cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma Mei 29, 2017. 
 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Dkt Agustine Maige akiwasilisha makadirio ya Bajeti ya Wizara yake kwa mwaka wa 2017/2018 katika kikao cha 36 cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11  Mjini Dodoma Mei 29, 2017. 
  Baadhi ya wachezaji wa Timu ya Mpira wa Miguu ya Simba Kutoka Jijini Dar es Salaam wakiwa Bungeni Mjini Dodoma Mei 29, 2017.     
Baadhi ya wabunge wakiwa na Baadhi ya wachezaji wa Timu ya Mpira wa Miguu ya Simba  wakiwa na Kombe la Ubingwa la Shirikisho(FA CUP) waliloshinda baada ya kuwafunga Mbao Fc kwa jumla ya goli 2 -1 katika Viwanja vya Bunge Mjini Dodoma  Mei 29, 2017.            

Picha Zote na Raymond Mushumbusi Dodoma MAELEZO, DODOMA
 
Copyright © 2014 Mkono Wangu Production Designed by EvMak Tanzania