CURRENT NEWS

Monday, May 1, 2017

RAIS MAGUFULI ADHURIA SHEREHE ZA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI MJINI MOSHI

Rais Dkt.John Magufuli akiwa uwanja wa Chuo cha Ushirika mjini Moshi katika sherehe za maadhimisho ya siku ya wafanyakazi Duniani,kutoka kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angela Kairuki,Waziri Mkuu Kassim Majaliwa,Rais wa Shirikisho la vyama vya wafanyakazi Tumaini Nyamhokwa, Waziri Jenista Joakim Mhagama  Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu,Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan.  Rais Dkt.John Magufuli akiwa uwanja wa Chuo cha Ushirika mjini Moshi katika sherehe za maadhimisho ya siku ya wafanyakazi Duniani,kutoka kushoto Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Mhandisi John William Kijazi,Spika wa Bunge Job Ndugai ,Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan,Waziri Jenista Joakim Mhagama  Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Rais wa Shirikisho la vyama vya wafanyakazi Tumaini Nyamhokwa,Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angela Kairuki, na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Said Meck Sadik 

 Maandamano ya wafanyakazi wakipita mbele ya Rais Jogn Magufuli katika Viwanja vya ushirika mjini Moshi katika maadhimisho ya siku ya wafanyakazi Duniani.

 Rais John Pombe Magufuli akiongoza kuimba wimbo wa wafanyakazi wa SOLIDARITY FOREVER katika uwanja wa Chuo cha Ushirika mjini Moshi katika kilele cha sherehe za Mei Mosi.
 
Copyright © 2014 Mkono Wangu Production Designed by EvMak Tanzania