CURRENT NEWS

Monday, May 29, 2017

RAIS MAGUFULI AMUAPISHA SIMON SIRRO KUWA INSPEKTAJENERALI WA POLISI (IGP)

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John PombeMagufuli akimvisha Cheo kipya Kamishna wa Polisi Simon Nyakoro Sirro kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini(IGP).

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John PombeMagufuli akimvisha Cheo kipya Kamishna wa Polisi Simon Nyakoro Sirro kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini(IGP).

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John PombeMagufuli leo tarehe 29 Mei, 2017 amemuapisha Kamishna wa Polisi Simon Nyakoro Sirro kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP).
Halfa ya kuapishwa IGP Simon Nyakoro Sirro imehudhuriwa na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. ibrahimi Hamis Juma, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Mwigulu Lameck Nchemba na viongozi wengine.
 
Copyright © 2014 Mkono Wangu Production Designed by EvMak Tanzania