CURRENT NEWS

Wednesday, May 3, 2017

ZIARA YA KAIMU KATIBU MKUU UVCCM SHAKA YAVUNA WENYEVITI NA MAKATIBU VYAMA VYA UPINZANI WILAYANI NKASI

 Kaimu Katibu mkuu UVCCM Shaka hamdu Shaka akimsalimia mama mzazi wa Mhe:Wazir Mkuu Mstaafu Mizengo kayanza peter pinda alipokwenda kutoa pole kwa familia ya Mzee Pinda kufuatia kifo cha baba yake Mzazi kijiji cha kibaoni Wilaya ya Mlele mkoa wa katavi.
Wananchi na Viongozi wakimpokea Ndg:Kaimu Katibu mkuu UVCCM Shaka hamdu Shaka katika kijiji cha kizilwazumbi pamoja na kumvika Skafu mara baada ya kuhutimisha ziara yake mkoan Katavi na kuwasili Mkoani rukwa.
Ndg:Kaimu Katibu mkuu UVCCM Shaka hamdu Shaka wa kwanza kulia akizungumza na wananchi wa kijiji cha  ISUNTA katika Shughuli ya Utekelezaji wa Ilani ya CCM 2015-2020 katikaUjenzi wa madarasa Shule ya Msingi.
 
Ndg:Kaimu Katibu mkuu UVCCM Shaka hamdu Shaka akisalimiana na wanachama wa CCM pamoja na Viongozi wa chama na Serikali mara baada ya kuwasili katika Mkutano wa ndani wa Wanachama na Viongozi uliofanyika katika kata ya Kilando wilaya ya Nkasi.
 Ndg:Kaimu Katibu mkuu UVCCM Shaka hamdu Shaka akikagua Vikundi vya ngoma
 Mjumbe wa Baraza Kuu UVCCM Taifa kupitia Mkoa wa Rukwa Ndg:Martin Matete akimkaribisha Ndg:Kaimu Katibu mkuu UVCCM Shaka hamdu Shaka kuzungumza na Wanachama wa CCM katika kata ya Kilando Wilayani Nkasi.
 Mkuu wa Wilaya ya Nkasi Mhe:Said Mtanda akielezea Maendeleo Ya Shughuli mbali mbali za utekelezaji wa Ilani ya CCM  katika Mkutano wa Ndani kata ya Kilando Wilayani Nkasi.
 Ndg:Kaimu Katibu mkuu UVCCM Shaka hamdu Shaka akipokea Wanachama wapya Wenyeviti wa Vijiji na makatibu kata 18 kutoka CHADEMA,ACT WAZALENNDO,TLP NA NCCR waliorudisha kadi na kujiunga na Chama cha Mapinduzi.
 Shamra shamra za kuwakaribisha wanachama wapya Wenyeviti wa Vijiji na makatibu kata 18 kutoka CHADEMA,ACT WAZALENNDO,TLP NA NCCR waliorudisha kadi na kujiunga na Chama cha Mapinduzi kwa kuwamwagia poda kama ishara ya furaha.
 Wanachama wakishangilia
 Wanachama wapya Wenyeviti wa Vijiji na makatibu kata 18 kutoka CHADEMA,ACT WAZALENNDO,TLP NA NCCR waliorudisha kadi na kujiunga na Chama cha Mapinduzi wakila kiapo cha Chama.
 Ndg:Kaimu Katibu mkuu UVCCM Shaka hamdu Shaka akizungumza na wanachama pamoja na Viongozi wachama katika Mkutano wa ndani wa Wanachama na Viongozi uliofanyika katika kata ya Kilando wilaya ya Nkasi.
 Wazee wakimkumbatia Ndg:Kaimu katibu Mkuu Uvccm Shaka Hamdu shaka mara baada ya kumaliza Mkutano wa ndani wa Wanachama na Viongozi uliofanyika katika kata ya Kilando wilaya ya Nkasi.
Wazee wakimshukuru Ndg:Kaimu katibu Mkuu Uvccm Shaka Hamdu shaka mara baada ya kumaliza Mkutano wa ndani wa Wanachama na Viongozi uliofanyika katika kata ya Kilando wilaya ya Nkasi.(PICHA NA FAHADI SIRAJI UVCCM)
 
Copyright © 2014 Mkono Wangu Production Designed by EvMak Tanzania