CURRENT NEWS

Thursday, June 1, 2017

KIGOMA WAMTAWAZA BULEMBO KUWA KIONGOZI ANAYEHESHIMIKA, WAMVISHA MPUZU YA WAHA

 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM,Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Tanzania, Alhaj Abdallah Bulembo, akivalishwa vazi aina ya Mpuzu la heshima la Waha, kumtawaza kuwa kiongozi anayeheshimika, wakati wa kikao chake na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM kutoka wilaya za Uvinza, Kigoma Vijijini na Kigoma mjini, akiwa katika ziara ya Kichama mkoani Kigoma, leo. Kikao hicho kiliwahusisha pia Mabalozi, Watendaji wa Chama na wale wa Serikali. Anayemvisha  ni Mzee Jafari Nkubebo

 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM,Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Tanzania, Alhaj Abdallah Bulembo, akiwa amekalia kigoda, baada ya kuvalishwa vazi aina ya Mpuzu la heshima la Waha, kumtawaza kuwa kiongozi anayeheshimika, wakati wa kikao chake na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM kutoka wilaya za Uvinza, Kigoma Vijijini na Kigoma mjini, akiwa katika ziara ya Kichama mkoani Kigoma, leo. Kikao hicho kiliwahusisha pia Mabalozi, Watendaji wa Chama na wale wa Serikali. Anayemvisha  ni Mzee Jafari Nkubebo
 Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kigoma, Dk. Amani Waalid Kaburou aki mkabidhi mkuki, Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Tanzania, Alhaj Abdallah Bulembo, baada ya kumvalishwa vazi aina ya Mpuzu la heshima la Waha, kumtawaza kuwa kiongozi anayeheshimika, 
 
Copyright © 2014 Mkono Wangu Production Designed by EvMak Tanzania