Rais Dkt. John Pombe Magufuli afungua kiwanda cha vifungashi cha Global Packaging (T) LTD mjini Kibaha asubuhi hii ikiwa ni siku ya pili ya ziara yake ya siku tatu ya mkoa wa Pwani.
Rais Dkt. Magufuli akipata maelekezo mara baada ya kufungua kiwanda cha vifungashi cha Global Packaging (T) LTD mjini Kibaha asubuhi hii ikiwa ni siku ya pili ya ziara yake ya siku tatu ya mkoa wa Pwani.
Post a Comment