CURRENT NEWS

Sunday, June 25, 2017

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AWASILI MKOANI KILIMANJARO LEO


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Anna Mghwira mara baada ya kuwasili Mkoani hapo kwa ajili ya kuhudhuria ibada ya Eid Elfitr itakayo fanyika Kitaifa mjini Moshi.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


 
Copyright © 2014 Mkono Wangu Production Designed by EvMak Tanzania