CURRENT NEWS

Wednesday, July 19, 2017

DIWANI VITI MAALUM WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) ATOA MSAADA WA VITU MBALIMBALI KATIKA KITUO CHA HIYAR


Diwani Viti Maalum Kata ya Chang'ombe Temeke,Mwanakombo Mwinyimbegu katika picha ya pamoja na watoto hao kabla ya kukabidhi msaada huo
Diwani Viti Maalum Kata ya Chang'ombe Temeke Mwanakombo Mwinyimbegu (mwenye kitambaa chekundu kichwani) akimkabidhi msaada hiyo,Shukuru Saidi mara alipofika katika Kituo cha Hiyari ambapo alitowa vitu Mbalimbali ikiwemo Mchele na Sukari.

Diwani Viti Maalum Kata ya Chang'ombe Temeke,Mwanakombo Mwinyimbegu akimkabidhi  baadhi ya msaada hiyo Mtoto Jamila Kibaja ambaye anasom Shule ya Msingi Mgulanilani Jijini Dar es Salaam


Diwani Viti Maalum Kata ya Chang'ombe Temeke Mwanakombo Mwinyimbegu akisunguma na wanahabari baada ya kutowa Msaad a hiyo katika kituo cha kulelea watoto yatima cha Hiyari
Moja wa watoto hao,Fatuma Chitanda (17) anayesom katika Shule ya Sekondari ya Wailes akitowa shukrani kwa Diwani huyo na kumuombea azidi kuwakumbuka,wamejisikia faraja baada ya Diwani huyo kufika Kituoni hapo na alisema anaomba na wengine wazidi kuwapa faraja japo hata kuwatembelea nakujuwa changamoto zinazo wakabili zikiwemo na ufinyu wa eneo kwani hata pakuchezea hawana. 
 
Copyright © 2014 Mkono Wangu Production Designed by EvMak Tanzania