CURRENT NEWS

Tuesday, July 18, 2017

MAMIA YAMUAGA MAREHEMU LINAH GEORGE MWAKYEMBE JIJINI DAR ES SALAAM LEO


 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe Harisson Mwakyembe akilia juu ya jeneza la Mke wake Marehemu Linah Mwakyembe wakati wa kuaga mwili huo nyumbani kwake Kunduchi, Jijini Dar es Salaam mapema leo  ambapo baadaye mwili huo ulisafirishwa kwenda Kyela, Mbeya kwa ajili ya mazishi. 

 Ibada ya kuombea mwili wa mke wa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe Harisson Mwakyembe, Marehemu Linah Mwakyembe ikiendelea katika kanisa la KKKT Kunduchi, Dar es Salaam kabla ya mwili huo kusafirishwa kwenda kyela, Mbeya kwa ajili ya mazishi.

Picha na Ofisi ya Bunge
 
Copyright © 2014 Mkono Wangu Production Designed by EvMak Tanzania