CURRENT NEWS

Friday, July 21, 2017

RIDHIWANI AIBUKIA NDONDO KAPU

Ridhiwani Kikwete akifurahia jambo na Chief Kauzu wa Timu ya KauzuFc ya Tandika

 Mbunge wa Jimbo la Chalinze Ridhiwani Kikwete akisaini kitabu cha wageni.

 Ridhiwani Kikwete akifanya mahojiano na mwandishi wa Azam Tv wakati wa mapumziko
 Ridhiwani Kikwete akizungumza na aliyekuwa  Kapteni  na kocha wa Timu ya mpira ya Simba  Selemani Matola wa kushoto.
 Shabiki Mkubwa  wa Timu ya Kauzu Fc Bwana Chief Kauzu akiingia Uwanjani katika Mtazamo wa kipekee.

Ridhiwani, akigawa zawadi kwa viongozi wa timu ya StimTosha ya Mabibo ambao ndiyo walioibuka na ushindi wa magoli 4-2 kwa njia ya penalti baada ya kumaliza mchezo kwa sare ya 1-1
Ridhiwani akizungumza na waandishi wa habari na kuwaasa vijana kutumia fursa ya Mashindano haya kujitangaza na pia kuzishawishi timu kubwa kuja kushiriki kuangalia viwango vinavyoonyeshwa. 
Pamoja na hayo kuwekeza katika viwanja vya michezo na kudumisha ushabiki wa timu hasa kwa maeneo wanayotoka.
 
Copyright © 2014 Mkono Wangu Production Designed by EvMak Tanzania