CURRENT NEWS

Saturday, July 8, 2017

TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) IKISHIRIKIANA NA MADAKTARI AFRIKA KUTOKA MAREKANI, KWA MARA YA KWANZA WAMEANDAA MATIBABU YA MAGONJWA YA UMEME WA MOYO YATAKAYOANZA TAREHE 10 MWEZI WA 7 HADI TAREHE 16 MWEZI WA 7 MWAKA HUU.

 TAASISI INAWATANGAZIA MADAKTARI WOTE NCHINI WENYE WAGONJWA WENYE MAPIGO YA MOYO YANAYOKWENDA AIDHA, TARATIBU AU HARAKA SANA NA WANAHISI WAGONJWA WAO WANAHITAJI PESIMEKA WAWALETE WAGONJWA HAO KWA AJILI YA MATIBABU KATIKA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE.

 TANGAZO HILI LIMETOLEWA NA KITENGO CHA UHUSIANO NA MASOKO TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI)
 
Copyright © 2014 Mkono Wangu Production Designed by EvMak Tanzania