CURRENT NEWS

Thursday, August 17, 2017

BI. REHEMA JUMA ANAWAOMBA MSAADA WA KUPATA MATIBABU KUTOKANA NA UVIMBE UNAOMSUMBUA KWA TAKRIBANI MIAKA 17

Bi. Rehema Juma Kishena kama anavyoonekana pichani na uvimbe unaomsumbua kwa miaka 17 sasa. Bi. Rehema Juma Kishena akiwa na mtoto wake wa ( 3) Sophia Dastan Mandia nyumbani kwa Dada yake Levolosi Mkoani Arusha. Bi. Rehema Juma Kishena akiwa na mtoto wake Sophia Dastan Mandia pamoja na Dada yake Bi Aziza Bakari Muyai nyumbani kwake Levolosi Mkoani Arusha.
 
Copyright © 2014 Mkono Wangu Production Designed by EvMak Tanzania