CURRENT NEWS

Monday, August 14, 2017

CCM YAHITIMISHA MAFUNZO ELEKEZI YA SIKU MBILI KWA MAKATIBU WA CCM MIKOA YA TANZANIA BARA NA VISIWANI MJINI DODOMA.

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Humphrey Polepole (wa pili kushoto) akiongoza nyimbo ya hamasa mara baada ya Katibu Mkuu wa CCM ndg:Abdulrahman Kinana kuwasili  kufunga  mafunzo elekezi ya siku mbili kwa Makatibu wa Mikoa  CCM tanzania bara na Visiwani yaliofanyika katika Ukumbi wa sekretariet katika jengo la ofisi ya makao makuu ya CCM mjini Dodoma
 Katibu wa NEC Uchumi na fedha Dkt.Frank George Haule  akiwasilisha mada wakati wa mafunzo elekezi kwa Makatibu wa Mikoa CCM tanzania bara na Visiwani yaliofanyika katika Ukumbi wa sekretariet katika jengo la ofisi ya makao makuu ya CCM mjini Dodoma.
 Baadhi ya washiriki wakifuatilia kwa umakini Mafunzo elekezi kwa Makatibu wa Mikoa CCM tanzania bara na Visiwani yaliofanyika katika Ukumbi wa sekretariet katika jengo la ofisi ya makao makuu ya CCM mjini Dodoma.
 Maofisa wa chama wakifuatilia kwa umakini Mafunzo elekezi kwa Makatibu wa Mikoa CCM tanzania bara na Visiwani yaliofanyika katika Ukumbi wa sekretariet katika jengo la ofisi ya makao makuu ya CCM mjini Dodoma.
 Mafunzo yakiendelea
Washiriki  Makatibu wa Mikoa CCM tanzania bara na Visiwani  wakiwa katika mijadala kwa makundi mbalimbali kuchambua yale walio jifunza katika mafunzo elekezi  yaliofanyika katika Ukumbi wa sekretariet katika jengo la ofisi ya makao makuu ya CCM mjini Dodoma.
Katibu wa NEC Oganaizesheni ndg: Pereila Ame Silima,akizungumza wakati wa kufunga  mafunzo   elekezi ya siku mbili kwa Makatibu wa Mikoa  CCM tanzania bara na Visiwani yaliofanyika katika Ukumbi wa sekretariet katika jengo la ofisi ya makao makuu ya CCM mjini Dodoma

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi ndg:Humphrey Polepole akizungumza wakati wa  kufunga  mafunzo elekezi ya siku mbili kwa Makatibu wa Mikoa  CCM tanzania bara na Visiwani yaliofanyika katika Ukumbi wa sekretariet katika jengo la ofisi ya makao makuu ya CCM mjini Dodoma.
 Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Ngemela Lubinga,akizungumza wakati wa  kufunga  mafunzo elekezi ya siku mbili kwa Makatibu wa Mikoa  CCM tanzania bara na Visiwani yaliofanyika katika Ukumbi wa sekretariet katika jengo la ofisi ya makao makuu ya CCM mjini Dodoma.
  Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rodrick Mpogolo akizungumza wakati wa  kufunga  mafunzo elekezi ya siku mbili kwa Makatibu wa Mikoa  CCM tanzania bara na Visiwani yaliofanyika katika Ukumbi wa sekretariet katika jengo la ofisi ya makao makuu ya CCM mjini Dodoma.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM- Zanzibar Dkt. Abdallah Juma Mabodi, akizungumza wakati wa  kufunga  mafunzo elekezi ya siku mbili kwa Makatibu wa Mikoa  CCM tanzania bara na Visiwani yaliofanyika katika Ukumbi wa sekretariet katika jengo la ofisi ya makao makuu ya CCM mjini Dodoma.
Katibu Mkuu wa CCM Ndg:Abdulrahman Kinana akifunga  mafunzo elekezi ya siku mbili kwa Makatibu wa Mikoa  CCM Tanzania bara na Visiwani (kulia) ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rodrick Mpogolo(kushoto) Naibu Katibu Mkuu wa CCM- Zanzibar Dkt. Abdallah Juma Mabodi .
 Katibu Mkuu wa CCM ndg:Abdulrahman Kinana akifunga mafunzo elekezi ya siku mbili kwa Makatibu wa Mikoa  CCM tanzania bara na Visiwani yaliofanyika katika Ukumbi wa sekretariet katika jengo la ofisi ya makao makuu ya CCM mjini Dodoma.(PICHA ZOTE NA FAHADI SIRAJI)
 
Copyright © 2014 Mkono Wangu Production Designed by EvMak Tanzania