CURRENT NEWS

Saturday, August 5, 2017

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AWAILI KWENYE SHEREHE ZA UZINDUZI WA UJENZI WA MRADI WA BOMBA LA MAFUTA CHONGOLEANI, TANAGA


Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mzee Maarufu alipowasili kwenye Sherehe za Uzinduzi wa Mradi wa omba la Mafuta kutoka Uganda kuja Tanzania, zilizofanyika leo katika Kijiji cha Chongoleani, kilometa zaidi ya nane kutoka mjini Tanga, ambako mradi huo unajengwa.


Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akisalimiana na Spika Mstaafau wa Bunge Anna Makinda, alipowasili kwenye Sherehe za Uzinduzi wa Mradi wa omba la Mafuta kutoka Uganda kuja Tanzania, zilizofanyika leo katika Kijiji cha Chongoleani, kilometa zaidi ya nane kutoka mjini Tanga, ambako mradi huo unajengwa


Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akisalimiana na mmoja wa wageni, alipowasili kwenye Sherehe za Uzinduzi wa Mradi wa omba la Mafuta kutoka Uganda kuja Tanzania, zilizofanyika leo katika Kijiji cha Chongoleani, kilometa zaidi ya nane kutoka mjini Tanga, ambako mradi huo unajengwa


Katibu Mkuu wa CCM Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Hussein Mwinyi baada ya kuketi eneo la awaali alipowasili kwenye Sherehe za Uzinduzi wa Mradi wa omba la Mafuta kutoka Uganda kuja Tanzania, zilizofanyika leo katika Kijiji cha Chongoleani, kilometa zaidi ya nane kutoka mjini Tanga, ambako mradi huo unajengwa. Kulia ni Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbaarawa.


Katibu Mkuu wa CCM Kanali mstaafu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Hussein Mwinyi baada ya kuketi eneo la awaali alipowasili kwenye Sherehe za Uzinduzi wa Mradi wa omba la Mafuta kutoka Uganda kuja Tanzania, zilizofanyika leo katika Kijiji cha Chongoleani, kilometa zaidi ya nane kutoka mjini Tanga, ambako mradi huo unajengwa. Kulia ni Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbaarawa.


Bango la Mradi huo


Spika Mstaafu wa Bunge Anna Makinnda akisalimiana na Jaji mstaafu, Mohamed Othman Chandeda kwenye hafla hiyo


Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akisalimiana na Mkuu wa mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri kwenye hafla hiyo


Wananchi wakiwa wamefurika asubuhi kwenye hafla hiyo


Baadhi ya wageni waalaikwa wakiwa kwenye hafla hiyo


Kikundi cha ngoma kikitumbuiza mwanzoni mwa shehehe hiyo


Baadhi ya waliohudhuria kwenye hafla hiyo wakibadilishana mawazo


Wananchi wakiendelea kumiminika kwenye eneo la tukio, kabla ya wageni Rasmi, Rais Dk John Magufuli na mgeni wake Rais wa Uganda Yoweri Museni kuwasili kwenye sherehe hizo. Picha zote na Bashir Nkoromo. 
 
Copyright © 2014 Mkono Wangu Production Designed by EvMak Tanzania