CURRENT NEWS

Thursday, August 31, 2017

NAIBU KATIBU MKUU-BARA AFANYA MAZUNGUMZO NA UJUMBE KUTOKA CHAMA CHA CPC CHA CHINA

 NAIBU Katibu Mkuu wa CCM-Bara- Rodrick Mpogolo (kushoto) akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC), Xu Lyuping (kulia), katika ukumbi wa Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam.
 NAIBU Katibu Mkuu wa CCM-Bara- Rodrick Mpogolo (wapili kushoto) akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC), Xu Lyuping (kulia), katika ukumbi wa Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam. Wa kwanza kushoto ni Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa KIanali mstaafu Ngemela Lubinga.
 Ujumbe wa Naibu Katibu Mkuu wa CCM_Bara Rodrick Mpogo na ujumbe wa Naibu Waziri wa mamambo ya Nje wa CPC, wakishangilia baada ya mazungumzo kumalizika. 
 NAIBU Katibu Mkuu wa CCM-Bara- Rodrick Mpogolo akiagana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC), Xu Lyuping baada ya mazungumzo yao katika ukumbi wa Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam. (Picha na Bashir Nkoromo).
 Naibu Katibu Mkuu akimsindikiza mgeni wake baada aya mazungumzo hayo
  Naibu Katibu Mkuu akimsindikiza mgeni wake baada aya mazungumzo hayo
  Naibu Katibu Mkuu akimsindikiza mgeni wake baada aya mazungumzo hayo
  Naibu Katibu Mkuu akimsindikiza mgeni wake baada aya mazungumzo hayo
 NAIBU Katibu Mkuu wa CCM-Bara- Rodrick Mpogolo akiagana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC), Xu Lyuping baada ya mazungumzo yao katika ukumbi wa Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam. Kulia ni Katribu wa NEC Siasa na Uhusian9o wa Kimataifa kanali Mstaafu Ngemela 
 NAIBU Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Humphrey Polepole akiagana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC), Xu Lyuping baada ya mazungumzo hayo
 UGENI HUU SAFI SANA, Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara- Rodrick Mpogolo akimwambia Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Humphrey Polepole baada ya wageni kluondoka baada ya mazungumzo. PICHA NA BASHIR NKOROMO. PICHA NYINGI ZAIDI ZA TUKIO HILO/ BOFYA HAPA
 
Copyright © 2014 Mkono Wangu Production Designed by EvMak Tanzania