CURRENT NEWS

Friday, September 8, 2017

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI APOKEA TAARIFA YA UCHUNGUZI WA MADINI YA ALMASI NA TANZANITE KUTOKA KWA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Taarifa ya Kamati Maalumu ya Bunge ya Kuchunguza Madini ya Almasi kutoka kwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Taarifa ya Kamati Maalum ya Bunge ya Kuchunguza Madini ya Tanzanite kutoka kwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipitia Taarifa ya Kamati Maalum ya Bunge ya Kuchunguza Madini ya Almasi na Tanzanite mara baada ya kukabidhiwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza mara baada ya kupokea Taarifa ya Kamati Maalumu ya Bunge ya Kuchunguza Madini ya Almasi na Tanzanite Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikabidhi Taarifa hiyo kwa Mkuu wa Majeshi Jenerali Venance Mabeyo Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpa mkono Mkuu wa Majeshi Jenerali Venance Mabeyo mara baada ya kumkabidhi Taarifa hiyo ambayo aliwakabidhi pia viongozi wote wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama.
Shekhe wa Mkoa wa Dar es Salaam Alhadi Mussa Salum akipiga makofi wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa akihutubia mara baada ya kukabidhiwa Taarifa hiyo ya Uchunguzi.
Wabunge wa Kamati Maalum ya Uchunguzi wa Biashara ya Madini ya Almasi na Tanzanite nao wakipiga makofi wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa akihutubia mara baada ya kukabidhiwa Taarifa hiyo ya Uchunguzi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge Job Ndugai, Mwenyekiti wa Kamati Maalum ya Bunge iliyochunguza biashara ya Almasi, Mussa Azzan Zungu(wakwanza kulia waliokaa), Mwenyekiti wa Kamati Maalum ya Bunge iliyochunguza biashara ya Tanzanite Doto Biteko(wakwanza kushoto waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Kamati hizo za uchunguzi pamoja na Viongozi wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge Job Ndugai, Mwenyekiti wa Kamati Maalum ya Bunge iliyochunguza biashara ya Almasi, Mussa Azzan Zungu(wakwanza kulia waliokaa), Mwenyekiti wa Kamati Maalum ya Bunge iliyochunguza biashara ya Tanzanite Doto Biteko(wakwanza kushoto waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Kamati hizo za uchunguzi Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na mmoja wa Wajumbe wa Kamati hiyo ya Uchunguzi wa Madini David Silinde Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU
 
Copyright © 2014 Mkono Wangu Production Designed by EvMak Tanzania