CURRENT NEWS

Saturday, October 21, 2017

FUATILIA MAHAFALI YA KIDATO CHA NNE SHULE YA SEKONDARI EDEN JIJINI MWANZA HII LEO

Wahitimu wa kidato cha nne 2017, shule ya sekondari Eden iliyopo Mahango Kata ya Buswelu Manispaa ya Ilemela Jijini Mwanza wakisoma shairi kwenye Mahafali ya saba ya shule hii leo jumamosi Oktoba 21,2017 shuleni hapo.

Shule za Eden zinajumuisha ni shule za Nursery, Primary & Secondary za kutwa na bweni zenye kutoa elimu bora na ufaulu wa juu ambapo wanazo pia nafasi za masomo kwa ajili ya mwanao hivyo wasiliana na uongozi kwa nambari za simu 0759 81 95 23.
Binagi Media Group
Meneja wa shule za Aden, Charlotte Mbabazi, akizungumza kwenye Mahafali ya saba, shule ya sekondari Eden iliyopo Mahango Kata ya Buswelu Manispaa ya Ilemela Jijini Mwanza
Mkurugenzi wa shule za Eden, Joseph Mbabazi (katikati), akifurahia jambo kwenye Mahafali ya Saba ya kidato cha nne katika shule ya sekondari Eden. Kushoto ni mgeni rasmi ambaye ni Mkaguzi wa Elimu
Meneja wa shule za Aden, Charlotte Mbabazi (katikati), akifurahia jambo kwenye Mahafali ya Saba ya kidato cha nne katika shule ya sekondari Eden. Kushoto ni Mkuu wa shule hiyo na kulia ni mgeni rasmi ambaye ni Mkaguzi wa Elimu
Wahitimu wa kidato cha nne, shule ya Sekondari Eden iliyopo Mahango Kata ya Buswelu Manispaa ya Ilemela Jijini Mwanza, wakifuatilia matukio mbalimbali yanayoendelea kwenye mahafali yao ya saba mwaka huu 2017 shuleni hapo
Baadhi ya wahitimu wa kidato cha nne, shule ya Sekondari Eden iliyopo Mahango Kata ya Buswelu Manispaa ya Ilemela Jijini Mwanza, wakiimba wimbo wa kuwashukuru akina mama kwa malezi bora
Pongezi kwa mmoja wa wahitimu kwa kuimba vyema wimbo wa kuwashukuru akina mama kwa malezi bora
Wahitimu wa kidato cha nne 2017, shule ya sekondari Eden wakitumbuiza kwa wimbo wa kuvutia wa kuwapongeza akina mama kwa malezi bora
Wazazi na waalimu wakifuatilia matukio yanayoendelea kwenye mahafali
Meneja wa shule za Aden, Charlotte Mbabazi, akisimama kuwalaki wahitimu wa kidato cha nne baada ya kuimba vyema wimbo wa kuwashukuru na kuwapongeza akina mama kwa malezi bora
Meneja wa shule za Aden, Charlotte Mbabazi, akiwapongeza wahitimu wa kidato cha nne baada ya kuimba vyema wimbo wa kuwashukuru na kuwapongeza akina mama kwa malezi bora
Meneja wa shule za Aden, Charlotte Mbabazi (mwenye miwani) akifurahia wimbo pamoja na wahitimu wa kidato cha nne mwaka huu
Wageni waalikwa wakifurahia jambo kwenye mahafali hayo
Wahitimu wa shule ya sekondari Eden wakitoa burudani
Wanafunzi 66 wa shule ya Sekondari Eden iliyopo Mahangu Ilemela Jijini Mwanza wanahitimu masomo yao mwaka huu 2017
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Eden iliyopo Mahangu Kata ya Buswelu Manispaa ya Ilemela Jijini Mwanza wakifuatilia mahafali hayo
Salamu kutoka kwa waalikwa meza kuu
Salamu kutoka meza kuu
Miongoni mwa wageni waalikwa akisalimia
Ndugu, jamaa na marafiki wakiwa kwenye mahafali hayo katika viunga vya shule ya Eden Sekondari, Mahango Kata ya Buswelu Manispaa ya Ilemela Jijini Mwanza
Shughuli inasimamiwa na mshereheshaji maarufu Jijini Mwanza, Mc Katumba ambaye pia ni mtangazaji wa Metro Fm Mwanza
Mandhari safi na bora ya shule ya Sekondari Eden iliyopo Mahango kata ya Buswelu Manispaa ya Ilemela Jijini Mwanza. Bonyeza HAPA Mahafali ya kidato cha saba 2017.
 
Copyright © 2014 Mkono Wangu Production Designed by EvMak Tanzania