CURRENT NEWS

Friday, October 27, 2017

HALI YA UPATIKANAJI WA DAWA KATIKA VITUO AFYA MWANZA

Binagi Media Group
Serikali mkoani Mwanza imejizatiti vyema kuhakikisha kwamba hali ya upatikanaji wa dawa katika vituo vya afya, zahanati pamoja na hospitali inatosheleza mahitaji wa wananchi.

Mganga Mkuu mkoani Mwanza, Dkt.Leonard Subi amesema hali ya upatikanaji wa dawa za msingi mkoani humo ni zaidi ya asilimia 95 na kwamba zinatosheleza uhitaji uliopo.
 
Copyright © 2014 Mkono Wangu Production Designed by EvMak Tanzania