CURRENT NEWS

Wednesday, October 4, 2017

MAJALIWA AFUNGUA KONGAMANO LA KISAYANSI MKUTANO MKUU WA 45 WA CHAMA CHA WAUGUZI TANZANIA OKTOBA 4 , 2017 – MKOANI LINDI


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua Kongamano la Kisayansi na Mkutano Mkuu wa 45 wa Chama Cha Wauguzi Tanzania (TANNA)  Mkoani Lindi (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Wauguzi wanafunzi wa Chuo Cha Uuguzi na Ukunga Nyangao Vijijini, Mkoani Lindi wakiwa katika maandamano kabla ya kufunguliwa kwa Kongamano la Kisayansi na Mkutano Mkuu wa 45 wa Chama Cha Wauguzi Tanzania (TANNA)  na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Mkoani Lindi, Oktoba 4, 2017
 Rais wa Chama cha Wauguzi Tanzania (TANNA),  Paul Magesa (kulia)  akisalimiana na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  wakati alipowasili  katika ufunguzi wa Kongamano la Kisayansi na Mkutano Mkuu wa 45 wa Chama Cha Wauguzi Tanzania (TANNA) uliyofanyika  Hotel ya Sea View Beach Resort, katikati ni  Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi, kuanzia kulia ni
Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Muhamad Bakari Kambi, Mkuu wa Wilaya ya Lindi, Shaibu Ndemanga akifuatiwa na Naibu Waziri Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto,  Dk Khamis Kigwangalla
Mkurugenzi Maendeleo wa Chama Cha Wauguzi Tanzania, (TANNA), Charles Soloka, (wa pili kulia), kuanzia kulia ni   Meneja Mkuu Wa Sea View Beach Resort, Gilbart  Peneza.
Meneja Mkuu Wa Sea View Beach Resort, Gilbart  Peneza, alisalimiana na Waziri Mkuu, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa

Wauguzi wakiwa katika maandamano
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa (wa pili kushoto)  akipokea maandamano
Uchangiaji wa Damu ukiendelea
Kikundi cha ngoma za asili kutoka mkoa wa Lindi kikitowa burudani

Wauguzi wakifurahi ujumbe uliokuwa ukitolewa na  kikundi cha ngoma za asili kutoka mkoa wa Lindi.

Mmiliki wa Sea View Beach Resort, Apollonia Peneza (nyuma) ya  Mh, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
Viongozi mbalimbali katika picha ya pamoja na Mh. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa

 Rais wa Chama cha Wauguzi Tanzania (TANNA),  Paul Magesa
Katibu Mkuu wa Chama Cha Wauguzi, Sebastian Luziga akisoma risala mbele ya mgeni rasmi
Mkuu wa Mkoa wa Lindi akitoa salamu za mkoa
Waziri Mkuu akihutubia Mkutano huo
 Rais wa Chama Cha Wauguzi Tanzania (TANNA), Paul Magesa (wa kushoto), akimkabidhi, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa zawadi mara baada ya  kufunga Mkutano .Waziri Mkuu katika picha ya pamoja na viongozi wa (TANNA) Taifa
Mkurugenzi wa Uuguzi na Ukunga wa Wizara ya Afya akisalimiana na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
  wajumbe wa Mkutano Mkuu wa  Chama hicho  kutoka mkoa wa Arusha 
Waziri Mkuu akiwapungia mkono Wauguzi, kushoto ni Mama Salma Kikwete

 
Copyright © 2014 Mkono Wangu Production Designed by EvMak Tanzania