CURRENT NEWS

Friday, October 6, 2017

MAMA WA MITINDO KUONYESHA MITINDO YAKE HUKO DALLAS TEXAS 7- OCT - 2017Bendera ya Tanzania inaendelea kupepea kwa namna moja ama nyingine kupitia Tasnia ya Mitindo kutoka kwa Designers wetu ambao wamekuwa wakipata fursa ya kuonyesha Mavazi yao kwenye nchi za ugenini. hii ni nyingine tena. Mama wa Mitindo maarufu kama Asya Idarous Khamsin,  Jumamosi ya wiki hii 7,October, 2017 ataonyesha Mitindo yake kwenye event kubwa huko DALLAS TEXAS ambayo imepewa jina la EAST AFRICAN CHAMBERS OF COMMERCE. 

Kwako mdau wa Fashion usikose kumshirikisha ndugu jamaa au rafiki yako ili kuendelea kuikuza Tasnia hii ya Mitindo Tanzania. Asante.

 
Copyright © 2014 Mkono Wangu Production Designed by EvMak Tanzania