CURRENT NEWS

Tuesday, October 3, 2017

MANGULA NA KIONGOZI WA PALESTINA

MAKAMU Mwenyekiti wa CCM- Bara, Philip Mangula akizungumza na Naibu Namishina wa Ushirikiano wa Kimataifa wa Chama Cha Ukombozi cha Palestina (FATAH) Dk. Uri Davis, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo Oktoba 3, 2017.
 (Picha na Bashir Nkoromo).
 
Copyright © 2014 Mkono Wangu Production Designed by EvMak Tanzania