CURRENT NEWS

Monday, November 20, 2017

MWENYEKITI WA CCM RAIS DKT MAGUFULI AENDESHA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM

 Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt John Pombe Magufuli, Makamu Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar) na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Ndugu Philip Mangula na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na wajumbe wa  Kamati Kuu ya CCM na sekretarieti yake baada ya kikao jijini Dar es salaam leo Novemba 20, 2017
 Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt John Pombe Magufuli, Makamu Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar) na Rais wa Zanzibar na 
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana wakiongea 
baada ya kikao cha Kamati Kuu ya CCM jijini Dar es salaam leo Novemba 20, 2017
 Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt John Pombe Magufuli, Makamu Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar) na Rais wa 
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein n wakiongea baada ya kikao cha Kamati
 Kuu ya CCM jijini Dar es salaam leo Novemba 20, 2017


 
Copyright © 2014 Mkono Wangu Production Designed by EvMak Tanzania