CURRENT NEWS

Sunday, December 24, 2017

MAKAMU MWENYEKITI WA CCM ZANZIBAR ALIVYOPOKELEWA LEO UKUMBI WA CCM MKOA WA MJINI AMAAN UNGUJA

 MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiwa na Viongozi wa CCM meza kuu wakisimama baada ya kuwasili katika ukumbi wa mkutano Afisi ya CCM Mkoa wa Mjini Amani Zanzibar.(Picha na Ikulu)
 MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiwahutubia Wanachama wa CCM katika hafla ya mapokezi yake yaliofanyika katika Afisi Kuu ya CCM MKoa wa Mjini Amaan Zanzibar. baada ya kuwasili akitokea Dodoma wiki iliopita baada ya kuchaguliwa kwa mara ya Pili kushika nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar kwa kura nyingi katika mkutano Mkuu wa Tisa wa CCM uliofanyika Dodoma.(Picha na Ikulu)
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akisisitiza jambo wakati akiwahutubia Wanachama wa CCM katika hafla ya mapokezi yake yaliofanyika katika Afisi Kuu ya CCM MKoa wa Mjini Amaan Zanzibar. baada ya kuwasili akitokea Dodoma wiki iliopita baada ya kuchaguliwa kwa mara ya Pili kushika nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar kwa kura nyingi katika mkutano Mkuu wa Tisa wa CCM uliofanyika Dodoma.(Picha na Ikulu)
  BAADHI ya Wanachama wa CCM wa Mikoa ya Zanzibar wakiwa katika ukumbi wa Mkutano Afisi ya CCM Mkoa wa Mjini Amani wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, akiwahutubia wakati wa hafla ya mapokezi yake Zanzibar.(Picha na Ikulu)
 KATIBU wa Chama cha TADEA Mhe Juma Ali Khatib akiwasalimia Wanachama wa CCM wakati wa mkutano huo wa hafla ya mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar katika ukumbi wa mkutano Afisi ya CCM Amaan Zanzibar.(Picha na Ikulu)
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiwasalimia Wanachama wa CCM baada ya kumalizika kwa hafla hiyo ya mapokezi yake katika viwanja vya Afisi CCM Mkoa wa Mjini Unguja Amaan.(Picha Ikulu)  

 
Copyright © 2014 Mkono Wangu Production Designed by EvMak Tanzania