CURRENT NEWS

Thursday, December 28, 2017

RAIS MAGUFULI AWASILISHA FOMU ZA MAADILIRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwasilisha fomu zake za Tamko la Rasilimali na Madeni kwa Viongozi wa Umma kwa Kamishna wa Maadili, Sekretarieti ya Maadili wa Viongozi wa Umma Jaji Mstaafu Harold Nsekela katika Makao makuu ya ofisi hizo yaliyopo katika Mtaa wa Ohio jijini Dar es Salaam.
 
Copyright © 2014 Mkono Wangu Production Designed by EvMak Tanzania