CURRENT NEWS

Saturday, December 30, 2017

WAZIRI MPINA APOKEA RIPOTI YA KAMATI NDOGO ALIYOIUNDA KWA SIRI KUTATHMINI UTENDAJI WA SEKTA YA UVUVI KATIKA ZIWA VICTORIA
 Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe Luhaga Mpina (kulia) akipokea ripoti ya Kamati Ndogo ya kutathmini utendaji wa sekta ya Uvuvi katika Ziwa Victoria kutoka kwa Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhandisi Bonaventure Baya anayeshuhudia ni Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi anayeshughulikia uvuvi, Dk.  Yohana Budeba hafla iliyofanyika Makao Makuu ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Dodoma jana.
 Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe Luhaga Mpina(katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Kamati Ndogo ya kutathmini utendaji wa sekta ya Uvuvi katika Ziwa Victoria baada ya kukabidhi ripoti yako mjini Dodoma jana. Kushoto ni Mwenyekiti wa kamati hiyo, Mhandisi Bonaventure Baya Kulia ni Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi anayeshughulikia Uvuvi,  Dk Yohana Budeba
 Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe Luhaga Mpina akiwashukuru wajumbe wa Kamati Ndogo ya kutathmini utendaji wa sekta ya Uvuvi katika Ziwa Victoria baada ya kupokea ripoti hiyo mjini Dodoma jana.  Kushoto ni Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi anayeshughulikia uvuvi Dk. Yohana Budeba
Mwenyekiti wa Kamati Ndogo ya kutathmini utendaji wa sekta ya Uvuvi katika Ziwa Victoria,  Mhandisi  Bonaventure Baya (kushoto) akiteta jambo na Katibu Mkuu Wizara ya  Mifugo na Uvuvi  anayeshughulikia uvuvi, Dk Yohana Budeba mara baada ya kukabidhi ripoti yake kwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe Luhaga Mpina hayuko pichani Dodoma jana.
 
Copyright © 2014 Mkono Wangu Production Designed by EvMak Tanzania