CURRENT NEWS

Sunday, January 14, 2018

CHUO CHA UHASIBU ARUSHA WATILIANA SAINI MKATABA MPYA WA USHIRIKIANO NA CHUO CHA UKAMANDA DULUTIKushoto ni mkuu wa chuo cha ukamanda na unadhimu Duluti Meja Jenerali H.Masebu akitiliana saini na Kaimu Mkuu wa Chuo cha Uhasibu Arusha,Dk.Faraji Kasidi mkataba mpya wa ushirikiano(MoU) kati ya chuo cha uhasibu Arusha na chuo cha  unadhimu Duluti .
Anayeshuhudiana wa kwanza kulia kwa upande wa chuo cha uhasibu Arusha ni Denson Ndiyemalila,upande wa kushoto ni shuhuda ni Emmanuel Nyivambe kutoka chuo cha Unadhimu Duluti.zoezi hilo lilifanyika katika chuo cha Uhasibu juzi jijini Arusha(Habari Picha na Pamela Mollel)

Kushoto ni Mkuu wa chuo cha ukamanda na unadhimu Duluti Meja Jenerali H.Masebu akikabidhiana mkataba mpya wa ushirikiano(MoU) na Kaimu Mkuu wa Chuo cha Uhasibu Arusha,Dk.Faraji Kasidi mara baada ya kutiliana saini kati ya chuo cha uhasibu Arusha na chuo cha  unadhimu Duluti .

Kushoto ni mkuu wa chuo cha ukamanda na unadhimu Duluti Meja Jenerali H.Masebu akizungumza mara baada ya kutiliana saini  mkataba mpya wa ushirikiano(MoU) kulia ni Kaimu Mkuu wa Chuo cha Uhasibu Arusha,Dk.Faraji Kasidi .

Picha ya pamoja ya kumbukumbu mara  baada utilianaji saini huo.
 
Copyright © 2014 Mkono Wangu Production Designed by EvMak Tanzania