CURRENT NEWS

Wednesday, January 3, 2018

MECHI KATI YA SINGIDA UNITED NA ZIMAMOTO UWANJA WA AMAAN ZANZIBAR, SINGIDA UNITED YASHINDA BAO 3-2

mchezaji wa Timu ya Singida United Michell Rusheshangoga T akiwapita wachezaji wa Timu ya Zimamoto Amour Haji na Shafii Hassan wakati wa mchezo wao wa kuwania Kombe la Mapinduzi Mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya Singida United imeshinda kwa bao 3 - 2.(Picha na Othman Maulid)

 MCHEZAJI wa Timu ya Singida United Elinywesia Edward akijiandaa kuzuiya mpira huku beki wa Timu ya Zimamoto Amour Haji akijiandaa kumzuiya wakati wa mchezo wa Kombe la Mapinduzi mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya Singida United imeshinda bao 3 -2.(Picha na Othman Maulid)
WACHEZAJI wa Timu ya Singida na Zimamoto wakiwania mpira katika mchezo wao wa Kombe la Mapinduzi mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar. Timu ya Singida United imeshinda mchezo huo kwa bao 3 -2.(Picha na Othman Maulid)
 
Copyright © 2014 Mkono Wangu Production Designed by EvMak Tanzania