CURRENT NEWS

Friday, January 26, 2018

RAIS DKT MAGUFULI NA MAMA JANETH MAGUFULI WACHANGIA SH. MILIONI 15 KWA AJILI YA MATIBABU YA MWIGIZAJI WASTARA JUMA


Katibu wa Rais Bw. Ngusa Samike akimkabidhi mwigizaji wa filamu za Bongo movie Wastara Juma shilingi milioni 15 zilizotolewa na Rais John Pombe Magufuli na Mama Janeth Magufuli kwa ajili ya matibabu nyumbani kwake Tabata Sanene jijini Dar es salaam leo Ijumaa Januari 26, 2018. Bw. Samike alimkabidhi Wastara shilingi milioni moja na laki tisa zilizocahngwa na wasaidizi wa Rais. Msanii huyo maarufu, ambaye alionekana na Rais kupitia kipindi cha Clouds TV cha SHILAWADU akiomba msaada wa pesa ili kurudi hospitali ya sifael nchini India, kwa  matibabu chini ya uangilizi wa hospital hiyo.  

Katibu wa Rais Bw. Ngusa Samike akiwasilli kumkabidhi mwigizaji wa filamu za Bongo movie Wastara Juma shilingi milioni 15 zilizotolewa na Rais John Pombe Magufuli na Mama Janeth Magufuli kwa ajili ya matibabu nyumbani kwake Tabata Sanene jijini Dar es salaam leo Ijumaa Januari 26, 2018. Bw. Samike alimkabidhi Wastara shilingi milioni moja na laki tisa zilizocahngwa na wasaidizi wa Rais. Msanii huyo maarufu, ambaye alionekana na Rais kupitia kipindi cha Clouds TV cha SHILAWADU akiomba msaada wa pesa ili kurudi hospitali ya sifael nchini India, kwa  matibabu chini ya uangilizi wa hospital hiyo, amemshukuru Rais kwa kuwajali wananchi wake.    
 Mwigizaji wa filamu za Bongo movie Wastara Juma  akiwa nyumbani kwake Tabata Sanene jijini Dar es salaam leo Ijumaa Januari 26, 2018.
  Katibu wa Rais Bw. Ngusa Samike na waendesha kipindi cha Clouds TV cha SHILAWADU wakumsikiliza mwigizaji wa filamu za Bongo movie Wastara Juma  akishukuru kupokea shilingi milioni 15 zilizotolewa na Rais John Pombe Magufuli na Mama Janeth Magufuli kwa ajili ya matibabu yake nyumbani kwake Tabata Sanene jijini Dar es salaam leo Ijumaa Januari 26, 2018. Bw. Samike alimkabidhi Wastara shilingi milioni moja na laki tisa zilizocahngwa na wasaidizi wa Rais. Msanii huyo maarufu, ambaye alionekana na Rais kupitia kipindi cha Clouds TV cha SHILAWADU akiomba msaada wa pesa ili kurudi hospitali ya sifael nchini India kwa  matibabu chini ya uangilizi wa hospital hiyo, amemshukuru Rais kwa kuwajali wananchi wake.  

Katibu wa Rais Bw. Ngusa Samike na ujumbe alioongozana nao pamoja na  waendesha kipindi cha Clouds TV cha SHILAWADU wakiwa katika picha ya kumbukumbu na mwigizaji wa filamu za Bongo movie Wastara Juma  baada ya kumkabidhi  shilingi milioni 15 zilizotolewa na Rais John Pombe Magufuli na Mama Janeth Magufuli kwa ajili ya matibabu ya msanii huyo nyumbani kwake Tabata Sanene jijini Dar es salaam leo Ijumaa Januari 26, 2018. Bw. Samike pia alimkabidhi Wastara shilingi milioni moja na laki tisa zilizocahngwa na wasaidizi wa Rais. Msanii huyo maarufu, ambaye alionekana na Rais kupitia kipindi cha Clouds TV cha SHILAWADU akiomba msaada wa pesa ili kurudi hospitali ya sifael nchini India kwa  matibabu chini ya uangilizi wa hospital hiyo, amemshukuru Rais kwa kuwajali wananchi wake.  PICHA NA IKULU

 
Copyright © 2014 Mkono Wangu Production Designed by EvMak Tanzania