Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru Balozi wa Ugiriki hapa nchini Konstantinos
Moatsos mara baada ya kupokea Hati zake za Utambulisho Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipokea
Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Mali hapa nchini Fafre Camara Ikulu
jijini Dar es Salaam.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akimtambulisha Waziri wa Mambo ya Nje Balozi Dkt. Augustine Mahiga kwa Balozi
wa Ethiopia hapa nchini Dina Mufti Said Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi wa
Colombia hapa nchini Elizabeth Taylor Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
Balozi wa Argentina hapa nchini Martin Gomez Bustillo Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipokea
Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Ufilipino hapa nchini Uriel Norman
Garibay Ikulu jijini Dar es Salaam
Post a Comment