CURRENT NEWS

Saturday, January 6, 2018

RAIS WA ZANZIBAR AFUNGUA SOKO JIPYA LA TIBIRIZI CHAKECHAKE PEMBA SHAMRASHAMRA ZA MIAKA 54 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR.

 JENGO la Soko Jipya la mbogamboga na samaki katika eneo chakechake kama ;linavyoonekana pichani wakati wa hafla ya uzinduzi wake wakati wa sherehe za miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.(Picha na Ikulu)

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Waziri wa Kilimo Maliasili Mifungo na Uvuvi. Mhe. Hamad Rashid Mohammed alipowasili katika viwanja vya Soko la Tibirizi kwa ajili ya ufunguzi wa Soko hilo ikiwa ni shamrashamra za sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar kuadhimisha miaka 54.(Picha na Ikulu)

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Waziri wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Mhe. Hamad Rashid  Mohammed akitowa maelezo ya ujenzi wa Soko hilo kabla ya kulifungua rasmin, wakati wa hafla hiyo iliofanyika katika eneo hilo la soko chakechake Pemba.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiondoa kipazia kuashiria uzinduzi wa Soko Jipya la wafanyabiashara wa Chakechake katika eneo la Tibirizi, ikiwa ni shamrashamra za maadhimisho ya miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiondoa kipazia kuashiria kuweka jiwe la Msingi la Soko Jipya la Tibirizi Chake kulia Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ Mhe. Haji Omar Kheri na kushoto Waziri wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Mhe. Hamad Rashid Mohammed.(Picha na Ikulu)

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akikata utepe wakati wa hafla ya uzinduzi wa Soko Jipya la Tibirizi Chake kulia Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ Mhe. Haji Omar Kheri na kushoto Waziri wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Mhe. Hamad Rashid Mohammed.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akikata utepe wakati wa hafla ya uzinduzi wa Soko Jipya la Tibirizi Chake kulia Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ Mhe. Haji Omar Kheri na kushoto Waziri wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Mhe. Hamad Rashid Mohammed.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akipiga makofi baada ya uzinduzi wa Soko Jipya la Tibirizi Chake kulia Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ Mhe. Haji Omar Kheri na kushoto Waziri wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Mhe. Hamad Rashid Mohammed.(Picha na Ikulu)

MKADARASI wa Ujenzi wa Soko hilo kutoka Kampuni ya ZECCON Ali Mbarouk akitowa maelezo ya ujenzi wa Soko hilo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, alipokuwa akitembelea katika soko hilo baada ya kulizindua rasmin katika sherehe za shamrashamra za Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza wakati akitembelea maeneo ya Soko hilo katika chumba maalum cha kuhifadhia Samaki, nyama  na vyakula vyengine katika Soko hilo.(Picha na Ikulu)

KATIBU Mkuu Wizara ya Kilimo Mifogo Maliasili na Uvuvi Joseph Abdalla Mza akitowa taarifa ya kitaalamu ya Ujenzi wa Soko Jipya la Tibirizi Chakechake Pemba wakati wa hafla ya uzinduzi wake uliofanya na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, ikiwa ni shamrashamra za Sherehe za Miaka 54 ya Mapinduzi wa Zanzibar.(Picha na Ikulu)

WAZIRI wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar Mhe. Hamad Rashid Mohammed akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Dk Ali Mohammed Shein, kuzungumza na wananchi wa kisiwani Pemba wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Soko la Tibirini Chakechake Pemba.(Picha na Ikulu)

WANANCHI wa Kisiwani Pemba wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, wakati wa hafla ya uzinduzi wa Soko Jipya la Tibirini Chakechake ikiwa ni sherehe za shamrashamra za kuadhimisha miakav 54  ya Mapinduzi ya Zanzibar.(Picha na Ikulu)

WANANCHI wa Kisiwani Pemba wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, wakati wa hafla ya uzinduzi wa Soko Jipya la Tibirini Chakechake ikiwa ni sherehe za shamrashamra za kuadhimisha miakav 54  ya Mapinduzi ya Zanzibar.(Picha na Ikulu) 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Viongozi wa jukwaa kuu wakiitikia dua baada ya kumalizika kwa hafla ya Uzinduzi wajengo la Soko Jipya la Tibirizi Chakechake Pemba.(Picha na Ikulu)
  

 
Copyright © 2014 Mkono Wangu Production Designed by EvMak Tanzania