CURRENT NEWS

Tuesday, January 30, 2018

TASWIRA MBALIMBALI ZA RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE AKIWA ADDIS ABABA, ETHIOPIA.

 Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete na Waziri Mkuu  Mstaafu wa Lesotho Mhe. Tom Thabane.

 Rais Mstaafu Jakaya Kikwete na Rais wa Zimbabwe Mhe Emerson Mnangagwa.

 Rais Mstaafu Dkt.Jakaya Kikwete na akiwa na Rais Zuma wa Afrika Kusini
 Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete na akiwa na Naibu Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika Dkt. Thomas Kwesi Quartey.
 Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete na akiwa wake za waasisi wa Umoja wa Nchi Huru za Afrika. kushoto kwake ni Mama Maria Nyerere na kulia kwake ni Mjane wa Hayati Rais Obote wa Uganda..
Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete na Rais wa Madagascar Hery Rajaonarimampianina 

Rais Mstaafu na Mwakilishi wa Umoja wa Afrika katika Usulihishi wa Mgogoro wa Libya, Dkt. Jakaya Kikwete katika taswira mbalimbali akiwa Addis Ababa, Ethiopia katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Umoja wa Afrika.


 
Copyright © 2014 Mkono Wangu Production Designed by EvMak Tanzania