CURRENT NEWS

Wednesday, February 28, 2018

HAPPY BIRTHDAY AUGUSTA NJOJI

Leo ni siku ya kuzaliwa ya rafiki mpendwa Augusta Njoji kutoka Dodoma.
Augusta uongozi wa blog ya kamerayangu pamoja na wasomaji wake tunakutakia maisha mema, umekuwa mstari wa mbele kuhakikisha hii blog inaendelea kuwa moja ya blog chache zenye heshima.
Mungu Akubariki Augusta 
Copyright © 2014 Mkono Wangu Production Designed by EvMak Tanzania