CURRENT NEWS

Monday, February 12, 2018

RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AHUTUBIA SIKU YA SHERIA ZANZIBAR

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Waheshimia Majaji wa Mahakama Kuu Zanzibar wakati akiwasili katika viwanja vya zamani vya Baraza la Wawakilishi kikwajuni Unguja
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Waheshimiwa wa meza kuu wakisamama wakati ukipigwa wimbo wa Taifa wakati wa hafla hiyo ya Siku ya Sheria Zanzibar iliofanyika katika ukumbi wa zamani wa baraza la wawakilishi kikwajuni.
 BAADHI ya wageni waalikwa katika hafla ya maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar wakiwa wamesimama wakati ukipigwa wimbo wa Taifa kabla ya kuaza kwa hafla hiyo, katika ukumbi wa zamani wa baraza la wawakilishi kikwajuni Zanzibar.
 BAADHI ya Wanafunzi wa Skuli za Sekondari Zanzibar wakishiriki Siku ya Sheria Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia hadhara hiyo
BAADHI ya wananchi na wageni waalikwa wakifuatilia hafla ya maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi akihutubia hafla hiyo
 BAADHI ya Wageni waalikwa wakifuatilia hafla ya maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia hafla hiyo iliofanyika katika ukumbi wa zamani wa baraza la wawakilishi kikwajuni Zanzibar.
 KIKUNDI cha Sanaa cha Makombora Black Root wakionesha mchezo wa kuigiza wakati wa maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar yaliofanyika katika ukumbi wa zamani wa baraza la wawakilishi kikwajuni Zanzibar

 RAIS wa Chama cha Mawakili Zanzibar Mhe. Omar Said Shaban akizungumza wakati wa hafla ya maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar katika ukumbi wa zamani wa baraza la wawakilishi kikwajuni Zanzibar.
 NAIBU Mkurugenzi wa Mashtaka Zanzibar Mhe. Muumin Khamis Omar, akizungumza wakati wa hafla ya maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar iliofanyika katika ukumbi wa zamani wa baraza la wawakilishi kikwajuni Zanzibar.
 JAJI Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omat Othman Makungu akitowa maelezo ya utekelezaji wa Mahakama Zanzibar wakati wa hafla ya maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar iliofanyika katika ukumbi wa zamani wa baraza la wawakilishi Zanzibar.

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akionesha Vitabu vya Sheria wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar yaliofanyika katika ukumbi wa zamani wa baraza la wawakilishi kikwajuni Zanzibar

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa Hafla ya Siku ya Sheria Zanzibar maadhimisho hayo yamefanyika katika ukumbi wa zamani wa baraza la wawakilishi kikwajuni Zanzibar.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,katika picha ya pampja baada ya kuhitimisha Maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar yaliofanyika katika ukumbi wa zamani wa baraza la wawakilishi kikwajuni Zanzibar. Picha na Ikulu
 
Copyright © 2014 Mkono Wangu Production Designed by EvMak Tanzania