CURRENT NEWS

Saturday, March 10, 2018

MAKAMU WA RAIS AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI MJINI DODOMA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri katika ukumbi wa TAMISEMI mjini Dodoma leo kikao hicho pia kimehudhuriwa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri katika ukumbi wa TAMISEMI mjini Dodoma leo.
Waziri wa Katiba na Sheria Prof. Palamagamba Kabudi (aliekaa kushoto) akiwa kwenye mazungumzo na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira Na Walemavu Jenista Mhagama , Waziri wa Mambo ya Nje na Ushikiano wa Afrika Mashariki, Mhe.Dkt. Augustine Mahiga (Mb.) pamoja na Mwanasheria Mkuu wa Serikali Dkt. Adelardus Kilangi wakizungumza kabla ya kuanza kwa kikao cha Baraza la Mawaziri kwenye ukumbi wa TAMISEMI mjini Dodoma.
 
Copyright © 2014 Mkono Wangu Production Designed by EvMak Tanzania