CURRENT NEWS

Monday, March 12, 2018

SERIKALI YAFANYA MAZUNGUMZO NA BHART AIRTELMazungumzo kati ya Kamati Maalum iliyoundwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli na Kampuni ya Bharti Airtel inayomiliki hisa katika kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania yameanza rasmi leo tarehe 12 Machi, 2018 Jijini Dar es Salaam.
 
Copyright © 2014 Mkono Wangu Production Designed by EvMak Tanzania