CURRENT NEWS

Thursday, March 8, 2018

SISTER FLORA NDWATA ASHINDA TUZO ZA JUMLA ZA WANAWAKE WENYE MAFANIKIO TANZANIA (TWAA)Rais na Muasisi wa TWA Irene Kiwia akizungumza kwenye kongamano la siku ya wanawake Duniani lililoandaliwa na taasisi ya TWA leo jijini Dar Es Salaam
Mtoa mada, Anna Chonjo Mariki kutoka Rex & Regina Attorneys akifafanua jambo kwa watoa mada wenzake kwenye kongamano la siku ya wanawake Duniani  lililofanyika leo jijini Dar Es Salaam 
Mama Zakia Meghji akizungumza jambo kwa wageni waalikwa 

Judy Dlamini Mwenyekiti wa Mbekani Investment akizungumza kwa wageni waalikwa 

Muongoza mjadala wa kongamano la TWA Lulu Ng’wanakilala (kulia) akielezea jambo kwa wazungumzaji wa  la siku ya wanawake Duniani  lililofanyika leo jijini Dar Es Salaam , wanaofuata kutoka kulia ni Rebecca Gyumi, Mama Zakia Meghji, Irene Kiwia, Scholastica Kimaro na Mary Rusumbi

Mshindi wa Tuzo za jumla za TWAA(Woman of Year 2018), Sister Flora Ndwata akipokea Tuzo toka kwa Mkurugenzi Mkaazi wa Trade Mark Tanzania, John Ulanga kwenye hafla iliyofanyika leo Serena Hotel, Dar Es Salaam


Judy Dlamini Mwenyekiti wa Mbekani Investment (katikati)akimkabidhi Irene Kiwia  kitabu alichozindua cha “ Equal But Different” wanaoshudia Jacquiline Maleko, Zakia Meghji na Sadaka Gandi
Dkt. Hawa Kawawa (kulia)kwa niaba ya marehemu mama yake Sophia Kawawa akipokea Tuzo ya Maisha (Life Time Achievement) toka kwa Mwenyekiti wa TWA, Sadaka Gandi

wageni waalikwa wakifuatilia kwa makini utoaji wa TuzoWashindi wote wakiwa kwenye picha ya pamoja

 
Copyright © 2014 Mkono Wangu Production Designed by EvMak Tanzania