CURRENT NEWS

Tuesday, May 22, 2018

CHUO KIKUU CHA MZUMBE WAZINDUA KITUO CHA KUTOA MSAADA WA KISHERIA


  Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Mzumbe mkoani Morogoro Prof Lughano Kusiluka  akisisitiza jambo kwa wanafunzi chuo hicho kitivo cha Sheria alipowataka kutoa msaada wa kisheria kwa wananchi mara baada ya uzinduzi wa kituo cha Sheria chuoni hapo
  Mkuu wa wilaya ya Mvomero Mohamed Utaly aliyekuwa mgeni rasmi wakati wa uzinduzi wa kituo cha Msaada wa kisheria katika Chuo Kikuu cha Mzumbe,Morogoro akikata utepe ,kushoto kwake ni Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Mzumbe Prof, Lughano Kusiluka
Mkuu wa kitivo cha Sheria chuo kikuu cha mzumbe Prof, Syriacus Binamungu akimkabizi Vitabu vinavyohusu masula ya Sheria Makamu Mkuu wa chuo Kikuu cha Mzumbe mkoani Morogoro Prof, Lughano Kusiluka.
 Mkuu wa wilaya ya Mvomero Mkoani Morogoro Mohamed Utaly akitoa rai kwa wanafunzi kitizo cha sheria kuhakikisha wanatoa msaada wa kisheria kwa wananchi bila malipo kwa kuzingatia kuwa swala walilolianzisha sio la kibiashara kwani hali za wananchi wanaolengwa ni duni.

 
Copyright © 2014 Mkono Wangu Production Designed by EvMak Tanzania