CURRENT NEWS

Monday, May 14, 2018

MATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI


Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Najma Giga
akiongoza kikao cha ishirini na nane cha mkutano wa 11 leo Jijini Dodoma.


Viongozi wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa wakiongozwa na Katibu
Mkuu wa Wizara hiyo Dkt.Florens Turuka na Naibu Katibu Mkuu Bi.Immaculate
Ngwale pamoja na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini Jenerali Venance Mabeyo wakati
wa kikao cha ishirini na nane cha mkutano wa 11 leo Jijini Dodoma.Wachezaji wa Timu ya Simba ambao pia ni mabingwa wa ligi kuu Bara kwa
mwaka 2017/18 wakifuatilia shughuli mbalimbali za Bunge leo Jijini Dodoma kwa
mualiko maalumu wa Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Job Ndugai.Viongozi wa Timu ya Simba wakifuatilia shughuli mbalimbali za Bunge leo Jijini
Dodoma kwa mualiko maalumu wa Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Job Ndugai.Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe.January
Makamba akitolea ufafanuzi hoja mbalimbali za wabunge kuhusu changamoto za
Muungano wakati wa kikao cha ishirini na nane cha mkutano wa 11 leo Jijini Dodoma.Majenerali wastaafu wa Jeshi la Wananchi watanzania(JWTZ) wakifuatilia
kipindi cha maswali na majibu leo Bungeni Jijini Dodoma.Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe.Dkt.Hussein Mwinyi akiwasilisha
hotuba ya Makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara hiyo kwa Mwaka wa Fedha
2018/2019.Wachezaji wa Timu ya Simba ambao pia ni mabingwa wa ligi kuu Bara kwa
mwaka 2017/18 wakifuatilia shughuli mbalimbali za Bunge leo Jijini Dodoma kwa
mualiko maalumu wa Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Job Ndugai.

Viongozi wa Timu ya Simba wakifuatilia shughuli mbalimbali za Bunge leo Jijini
Dodoma kwa mualiko maalumu wa Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Job Ndugai.

Picha zote na Daudi Manongi,MAELEZO DODOMA.
 
Copyright © 2014 Mkono Wangu Production Designed by EvMak Tanzania