CURRENT NEWS

Monday, May 7, 2018

PICHA: KAMATI YA MAREKEBISHO YA KATIBA YA CHAMA CHA MABUNGE YA JUMUIYA YA MADOLA KANDA YA AFRIKA (CPA AFRIKA) YAKUTANA JIJINI DAR ES ALAAAM.
Wajumbe wa Kamati ya Marekebisho ya Katiba ya Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika (CPA Afrika) wakiongozwa na Spika wa Bunge la Kenya Mhe. Justin Muturi (Katikati,waliokaa), Naibu Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson na Katibu Mkuu wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika (Watatu kutoka Kulia,waliokaa), Ndg.  Stephen kagaigai wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuanza kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika katika Hoteli ya Ramada, Dar es Salaam, Tanzania. Kamati hii itatoa Taarifa yake katika Mkutano Mkuu wa Chama hiko utakaofanyika jijini Gaborone, Botswana Mwezi wa Nane Mwaka huu.
 
Copyright © 2014 Mkono Wangu Production Designed by EvMak Tanzania