CURRENT NEWS

Tuesday, May 22, 2018

PICHA: SPIKA JOB NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA NABII MWINGIRA NA WANAFUNZI KUTOKA CHUO KIKUU CHA MICHIGAN LEO OFISINI KWAKE JIJINI DODOMA.

 Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Makamu Mkuu wa Chuo kikuu cha St. John kilichopo Jijini Dodoma, Prof. Emmanuel Mbennah (katikati) na mmoja ya Mwanafunzi wa Chuo kikuu cha Michigan kilichopo nchini Marekani walipomtembelea leo Ofisini kwake Jijini Dodoma.
 Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (katikati) akizungumza na Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Michigan kilichopo Mjini Michigan, nchini Marekani walipomtembelea leo Ofisini kwake Jijini Dodoma.

 Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akimsikiliza Mtumishi wa Mungu Mtume na Nabii Josephat (katikati) alipomtembelea leo Ofisini kwake Jijini Dodoma. Kulia ni Mke wake wa Nabii, Ndg. Eliakunda Josephat Mwingira

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (katikati)akimsikiliza Mhe. Anna Lupembe (aliesimama) akizungumza wakati walipotembelewa na ugeni ulioongozwa na Mtumishi wa Mungu Mtume na Nabii Josephat leo Bungeni Jijini Dodoma.

(PICHA NA DEONISIUS SIMBA - OFISI YA BUNGE)

 
Copyright © 2014 Mkono Wangu Production Designed by EvMak Tanzania