CURRENT NEWS

Wednesday, December 8, 2021

MCHEZO WA NETBALL MASHINDANO EALA TIMU YA BUNGE YAILAZA TIMU YA BARAZA LA WAWAKILISHI

Wachezaji wa Timu ya Bunge ya Mpira wa Pete (wenye nyeupe) wakiwa katika picha ya pamoja na Timu ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar  baada ya kumaliza kucheza katika Uwanja wa Kumbukumbu ya Shekhe Amri Abeid kwenye michuano ya michezo ya Mabunge ya Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki inayoendelea Jijini Arusha.Timu ya Bunge iliibuka kidedea kwa Magoli 44-32.


 Wachezaji wa Timu ya Bunge ya Mpira wa Pete (wenye nyeupe) wakichuana vikali na Timu ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar katika Uwanja wa Kumbukumbu ya Shekhe Amri Abeid kwenye michuano ya michezo ya Mabunge ya Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki inayoendelea Jijini Arusha.Timu ya Bunge iliibuka kidedea kwa Magoli 44-32. 
Copyright © 2014 Mkono Wangu Production Designed by EvMak Tanzania